Ellyjey Health EducationTunajali Afya Yako
EEllyjey Health Education
Elimu sahihi • Afya bora • Matumaini

About Us

· Ellyjey Health Education

ELLYJEY HEALTH EDUCATION


Ellyjey Health Education ni jukwaa linalolenga kutoa elimu sahihi na inayoaminika kuhusu afya na matumizi salama ya dawa kwa Kiswahili. Tunazungumzia masuala mbalimbali yanayohusu matumizi sahihi ya dawa, usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Antimicrobial Resistance), madhara ya dawa (ADR), afya ya mama na mtoto, pamoja na ushauri wa afya kutoka kwa mtazamo wa kitaalamu wa famasia.


Zaidi ya elimu ya afya, tunaamini pia katika nguvu ya maombi ya kila siku kama chanzo cha faraja, nguvu na matumaini kwa wagonjwa na wale wanaowahudumia.


Dhamira yetu ni kukuelimisha, kukupa matumaini na kukutia moyo katika safari ya afya na uponyaji.


Elimu sahihi ya afya, matumizi salama ya dawa na nguvu ya maombi. 

Makala zote hapa ni kwa elimu tu, si ushauri wa kitabibu. Tafadhali muone daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyote. Hatuna uhusiano na uuzaji wa dawa mtandaoni.

All articles here are for educational purposes only, not medical advice. Please see your doctor before using any medication. We have no connection with online drug sales.


Tahadhari: Maudhui haya ni kwa madhumuni ya elimu tu; hayachukui nafasi ya uchunguzi au ushauri wa mtaalamu wa afya.