Contact Us
Ellyjey Health Education
Karibu Ellyjey Health Education!
Tunathamini maoni, maswali na ushirikiano wako. Tupo hapa kukusaidia kupata elimu sahihi kuhusu matumizi salama ya dawa, afya ya mama na mtoto, antibiotic resistance, pharmacovigilance na masuala mengine ya afya.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa:
- Maswali kuhusu makala na elimu ya afya tunayochapisha.
- Kutoa maoni au mapendekezo ya mada unazopenda tujadili.
- Kuripoti hitilafu au taarifa zinazohitaji marekebisho.
- Masuala ya ushirikiano na mawasiliano ya kibiashara.
Barua pepe:ellyjeymedics@gmail.com
Mitandao ya kijamii:
Whatsapp: 0777678743
Facebook: Ney J Lema
Instagram: neemalemaj
Linkedin: Neema Lema
Tiktok: ELLY JEY
Tutajitahidi kujibu ujumbe wako kwa wakati unaofaa.
Muhimu: Ellyjey Health Education hutoa elimu ya afya kwa ujumla. Maudhui yetu hayachukui nafasi ya uchunguzi, ushauri au matibabu kutoka kwa mtaalamu wa afya. Kwa dharura ya kiafya, tafuta huduma ya afya mara moja.
Ellyjey Health Education – Tunajali Afya Yako.